Kiu ya kuoa mke mwingine, imemuingiza matatani Godlisen Lema (48), baada ya kudaiwa kuamua kumuua mkewe ili kutimiza haja ...
Naibu Mkuu wa Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa (Takukuru), Mkoa wa Kilimanjaro, Sabas Salehe akizungumza na waandishi ...
Licha ya vilio vya mara kwa mara, baadhi ya Watanzania wameendelea kulalamika kutapeliwa fedha zao na watu au taasisi ...
Hali ya ukimya imeendelea kutawala nyumbani kwa marehemu huku nyimbo za maombolezo zikipigwa. Mafuru alifariki dunia Novemba ...
Wakati ugonjwa wa usugu wa vimelea dhidi ya dawa (Uvida) ukitabiriwa kuongoza kwa vifo duniani ifikapo mwaka 2050, watoto wachanga chini ya mwezi mmoja na wale njiti wanatajwa kuwa miongoni ...
Licha ya kuwa ngoma za mwanamuziki Alikiba zimekuwa zikifanya vizuri na kupokelewa kwa mapenzi makubwa, lakini ngoma hizo zinaonekana kuwakuna zaidi mashabiki katika verse zake za pili.
Baraza la mpito la Haiti lililoundwa kurejesha mfumo wa demokrasia nchini humo, limetia saini amri ya kiutendaji ya kumfuta ...
Dar es Salaam. Hali ya upatikanaji wa dola nchini imeimarika kwa kiasi kikubwa katika wiki chache zilizopita wakati nchi ikiongeza mapato ya fedha za kigeni kutokana na kuongezeka kwa mapato kutoka ...
Kwa wafuatiliaji wa muziki wa Hip-hop jina la Dizasta Vinna sio geni masikioni mwao, kutokana na umaarufu aliopata kwenye ...
Mwili wa aliyekuwa Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango, Lawrence Mafuru unatarajiwa kuzikwa Ijumaa, Novemba 15, 2024 katika ...
Mwili wa aliyekuwa Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango, Lawrence Mafuru unatarajiwa kuzikwa Ijumaa, Novemba 15, 2024 katika ...
Dar es Salaam. Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu na Kamati ya Bajeti zimeutaka uongozi wa Reli ya Tanzania Zambia (Tazara) kuongeza kasi katika kukamilisha majadiliano ili reli hiyo ianze ...