Amesema walisubiri hadi Septemba 21, lakini hakuna hatua zozote za kutoa mwanga kuhusu uchunguzi, kusisitiza kuwa wana haki ya kuendelea na maandamano.
Vijana nchini Tanzania wamehimizwa kuwa wabunifu kuunda programu na zana mbalimbali kama suluhisho za kurejeleza plastiki ili ...
Je, unafahamu kwamba kuna ugonjwa wa wasiwasi? Ndiyo, ni moja ya magonjwa ya afya ya akili na unashika nafasi ya pili kwa ...
Kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Kilimanjaro, Idrissa Makishe (38), anayedaiwa kumwagiwa kimiminika kinachosadikiwa ...
Ikiwa unamiliki gari kwa muda mrefu siku likipata hitilafu ukalazimika kuliacha na kutumia usafiri wa umma, bila shaka ...
Yanga imetinga kwa kishindo hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya juzi usiku kuendelea kupeperusha vyema ...
Waziri wa Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa ameiagiza Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) kuhakikisha inasimamia ...
Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe amesema maandamano waliyopanga kufanya kesho Septemba 23, 2024 yatakuwepo kama ...
Mufti na Shehe Mkuu wa Tanzania, Abubakari Zuberi amesisitiza umuhimu wa wananchi kuheshimiana kama njia ya kudumisha amani ...
Serikali imetangaza rasmi kuwa wakulima wa korosho watalipwa moja kwa moja na vyama vya ushirika badala ya Vyama vya Ushirika ...
Imefikia hatua mwanaye amepunguza kutoka na mimi kwa matembezi ya jioni kama ilivyokuwa zamani kabla hatujaamua kuishi nao ...
Simba inatupa karata muhimu leo nyumbani dhidi ya Al Ahli Tripoli ya Libya ikihitaji ushindi wa aina yoyote ili iweze kutinga ...