Ujumbe wa Marekani umeeleza kuwa vikundi vilivyopeleka pendekezo (petition) vinadai kuwa Tanzania inawinda tembo wa amboseli ...
RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan anatarajia kufanya ziara ya kikazi nchini Brazil kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali ...
JOPO la wataalamu lililoundwa na Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limewasili nchini Sudan kuchunguza madai ya uhalifu wa ...
SERIKALI ya Rwanda imepeleka zaidi ya tani 19 za chakula,vyakula vya watoto, dawa na vifaa vya matibabu kusaidia wananchi wanaoishi Gaza.
MKUU wa Wilaya ya Longido mkoani Arusha, Salumu Kalli amewataka wanamichezo wilayani humo kumuunga mkono Naibu Waziri ...
HAITI : BARAZA la Mpito nchini Haiti limemchagua Alix Didier Fils- Aime kuwa Waziri Mkuu mpya nchini humo. Uamuzi huu umekuja ...
MASHIRIKA ya kutetea haki za binadamu duniani wameliomba shirikisho la FIFA kusitisha kuichagua Saudi Arabia kuandaa Kombe la ...
BURKINA FASO : VIKOSI vya kijeshi nchini Burkina Faso vimeanzisha uchunguzi baada ya vidio zilizosambaa mitandaoni ambazo ...
WAZIRI wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameshiriki Misa Takatifu katika Parokia ya Mtakatifu Paulo na kuongoza harambee ya ...
MANYARA: KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Maji na Mazingira imeridhishwa na mpango wa kurejesha huduma ya maji safi na salama ...
TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoani Mtwara imefanikiwa kuokoa zaidi ya Sh milioni 31 fedha za ...