Miongoni mwao ni Snura, ambaye aliacha muziki na kuamua kujikita zaidi katika dini. Pia kumekuwa na mifano ya wengine kama ...
ALIYEKUWA Mkuu wa Wilaya ya Korogwe na msimamizi wa Mashindano ya Miss Tanzania, Basilla Mwanukuzi, amesema wamefanya uamuzi ...
Mwaka 2020 unakumbukwa kama mwaka uliokabiliwa na changamoto si haba. Sekta mbali mbali za uchumi ziliathirika kutokana na janga la Corona. Lakini mojawapo sekta iliyoathirika pakubwa ni burudani, ...
Raia nchini Kenya wamekuwa wakitumia mitandao ya kijamii kuelezea kutoridhishwa kwao na hatua ya kufunga maeneo ya burudani ili kufanikisha mpango wa kitaifa wa kuhesabu watu. Waziri wa usalama wa ...
Kama kawaida DJ Fly Collins Odhiambo na fundi mitambo Vital Mugisho wanakushushia burudani ya Muziki bandika bandua katika Niko Base. Soma zaidi mada inayofanana: ...
Kwenye burudani la karibuni tunajimwaga jamvini na msanii maarufu wa Mombasa,Kenya, Mama Fathma/Idriss Salim Kidogo,miongoni mwa mengi ametusimulia jinsi alivyovamiwa hivi karibuni na vijana ...
Burudika na Kidumbaki, ngoma ya asili kutoka visiwani Zanzibar, inatoa burudani isiyo na kifamia jambo linafanya iweze kuchezwa hata masaa sita pasipo kupumzika. Zaidi kuhusu uhondo huo Tazama vidio ...